Zinazobamba

Mikopo rahisi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, diploma

 Habari


Je unatamani kujiendeleza kimasomo au kumuendeleza  mwanao au ndugu yako na umekwama ada?


Tanzania Education and Development Trust TEDT inatoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania kuanzia Diploma hadi PhD ndani na nje ya nchi bila ya riba.


Karibu tukuhudumie: 


*Dar es Salaam 0745 251 842*


*Zanzibar: 0777 353 632*


Karibu sana


Hakuna maoni