Kwa upande Mratibu wa Matembezi hayo kutoka CODECO Steven Nchimbi amewataka Wadau watakaotaka kushiriki kukata tiketi zao mapema ambapo amesema zinapatikana Mpingo House, Mwenge Vinyago chumba namba 15.

Amesema magari ya kwenda hifadhini yatapatikana Mlimani City, Mbezi Magufuli, Mpingo House na Oilcom Ubungo.