Zinazobamba

UNFPA yakabidhi msaada wa Vifaa vya uzazi vyenye thamani ya dola za kimarekani milioni 4.6 kwa serikali ya Tanzania.

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la afya ya uzazi na mpango wa uzazi,litakikisha wanawake ,wanaume na vijana wote nchini Tanzania ,wanapata bidhaa za uzazi wa mpango bila kumuacha mtu nyuma.

katika kutimiza malengo hayo,imefanya ununuzi wa wa vifaa vya afya ya uzazi uliofanywa na UNFPA kufikia dhamani ya dola za kimarekani  milioni 4.6 kwa mwaka huu.

Imeelezwa kuwa,zaidi ya dola milioni nne zinatoka kwa Ugavi wa UNFPA na zaidi ya dola 500.000 zinatoka Ofisi ya maendeleo ya kimataifa  na jumuiya ya madola ya Uingereza (FCDO).

Hayo yalisemwa na Mark Brya Schreinerambaye ni  mwakilishi  mkazi wa shirika la UNFPA,Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,wakati makabidhiano ya bidhaa za uzazi wa mpango  na uzinduzi wa ripoti ya hali ya idadi ya watu duniani..

Alisema vifaa vya afya ya uzazi  vilivyokabidhiwa na UNFPA kwa serikali ya Tanzania ni bidhaa za kuokoa maisha ya uzazi zikiwemo bidhaa za kisasa za uzazi wa mpango.

"Bidhaa hizi niza watu binafsi kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi juu ya afya zao za uzazi pindi na wakati sahihi  wa kupata watoto," alisema.

Aliongeza kuwa,vifaa hivyo vinàtoà  njia ya uwezeshaji  binafsi hasa kwa wanawake na wasichana.

Aliongeza kuwa lengo lao la pamoja niusambazaji wa dawa hizo za uzazi wa mpango na vifaa vya afya ya uzazi kwa maelfu ya vituo vya afya ,hospital ,zahanati na huduma za kijamii,Kisha kusambaza ili kutoa haki na chaguo za upangaji uzazi kwa wanawake na wanaume kote nchini.

Alisema wanaipongeza serikali ya Tanzania kwa dhamira ya FP2030 kwa kuendeleza uzazi wa mpango unaozingatia hakina ongezeko lililopangwa la asilimia 10 la kila mwaka katika mgao wa Sasa wa shilingi bilioni 14 za kitanzania  zitakazotolewa kikamilifu kwa ajili ya udhibiti mimba.

Aliongeza kupitia ushirikiano wa UNFPA wa Ugavi wanatarajia kushirikiana zaidi na serikali ya Tanzania mwaka huu ili kuanzisha maelewano ya nchi na kuimarisha dhamira yao ya pamoja ya ufadhiri wa siku zijazo kwa ajili ya vifaa vya afya ya uzazi 

Dk.Felx Bundala ambaye ni mratibu wa Afya ya mtoto kutoka Wizara ya Afya ,ambaye pia mkuu wa kitengo Cha afya ya uzazi,aliwapongeza UNFPA kwa kuwapatia Msaada huo.
Alisema Msaada huo uwawafikia walengwa wote na hakuna ambaye ataachwa nyuma.

Mwisho. la afya ya uzazi na mpango wa uzazi,litakikisha wanawake ,wanaume na vijana wote nchini Tanzania ,wanapata bidhaa za uzazi wa mpango bila kumuacha mtu nyuma.

katika kutimiza malengo hayo,imefanya ununuzi wa wa vifaa vya afya ya uzazi uliofanywa na UNFPA kufikia dhamani ya dola za kimarekani  milioni 4.6 kwa mwaka huu.

Imeelezwa kuwa,zaidi ya dola milioni nne zinatoka kwa Ugavi wa UNFPA na zaidi ya dola 500.000 zinatoka Ofisi ya maendeleo ya kimataifa  na jumuiya ya madola ya Uingereza (FCDO).

Hayo yalisemwa na Mark Bryan Schreiner ambaye ni  mwakilishi  mkazi wa shirika la UNFPA,Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,wakati makabidhiano ya bidhaa za uzazi wa mpango  na uzinduzi wa ripoti ya hali ya idadi ya watu duniani..
Alisema vifaa vya afya ya uzazi  vilivyokabidhiwa na UNFPA kwa serikali ya Tanzania ni bidhaa za kuokoa maisha ya uzazi zikiwemo bidhaa za kisasa za uzazi wa mpango.

"Bidhaa hizi niza watu binafsi kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi juu ya afya zao za uzazi pindi na wakati sahihi  wa kupata watoto," alisema.

Aliongeza kuwa,vifaa hivyo vinàtoà  njia ya uwezeshaji  binafsi hasa kwa wanawake na wasichana.

Aliongeza kuwa lengo lao la pamoja niusambazaji wa dawa hizo za uzazi wa mpango na vifaa vya afya ya uzazi kwa maelfu ya vituo vya afya ,hospital ,zahanati na huduma za kijamii,Kisha kusambaza ili kutoa haki na chaguo za upangaji uzazi kwa wanawake na wanaume kote nchini.

Alisema wanaipongeza serikali ya Tanzania kwa dhamira ya FP2030 kwa kuendeleza uzazi wa mpango unaozingatia hakina ongezeko lililopangwa la asilimia 10 la kila mwaka katika mgao wa Sasa wa shilingi bilioni 14 za kitanzania  zitakazotolewa kikamilifu kwa ajili ya udhibiti mimba.

Aliongeza kupitia ushirikiano wa UNFPA wa Ugavi wanatarajia kushirikiana zaidi na serikali ya Tanzania mwaka huu ili kuanzisha maelewano ya nchi na kuimarisha dhamira yao ya pamoja ya ufadhiri wa siku zijazo kwa ajili ya vifaa vya afya ya uzazi 
Dk.Felx Bundala ambaye ni mratibu wa Afya ya mtoto kutoka Wizara ya Afya ,ambaye pia mkuu wa kitengo Cha afya ya uzazi,aliwapongeza UNFPA kwa kuwapatia Msaada huo.
Alisema Msaada huo uwawafikia walengwa wote na hakuna ambaye ataachwa nyuma.

Anasema vifaa vitatumika  katika kuhakikisha vifaa vinatumika katika uzazi wa mpango  na afya ya uzazi.

Anaongeza kuwa mkakati ni kupunguza vifo vya uzazi ,vifo vya watoto wachanga chini ya  miaka mitano.

Hakuna maoni