JPM KESHO KUTIKISA JIJI LA ARUSHA KAMPENI ZA LALA SALAMA
Aisee Chuga Shujaa ameshaingia Mjini hapo. Awamu ya 6 na ya Mwisho ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Zinaendelea kurindima na baada ya Pwani, Tanga na Kilimanjaro Sasa Kesho Mitambo ya Ushindi inahamia Mji wa Kitalii na wa wajanja Arusha. Ni Kesho Alhamisi Oktoba 22, 2020 ataunguruma Mkoani Arusha. Arusha wote tunaenda na JPM, Kiongozi Mpole na Mchapakazi
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Hakuna maoni
Chapisha Maoni