Zinazobamba

PROF.LIPUMBA ACHUKUA FOMU YA URAIS


Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF  katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba wakionyesha  Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF  katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Bi.Hamida Abdallah  mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa  leo jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba kupitia Chama cha Wananchi CUF katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dk. Wilson Mahera Charles.
 Mgombea Mwenza kupitia Chama cha Wananchi CUF Bi.Hamida Abdallah akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma.
  
Baadhi ya wafuasi wa chama cha Wananchi CUF waliomsindikiza Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba aliyeambatana na Mgombea Mwenza Bi.Hamida Abdallah kwa ajili ya kuwania  nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho    katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 wakiwa wakifatilia kwa umakini  katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa  leo jijini Dodoma.

Hakuna maoni