Baraza linapenda kuwajulisha kwamba ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2020 inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mtihani wa Kidato cha Sita umpangwa kufanyika kuanzia tarehe 9/10/2020 hadi 23/10/2020 ni ya Uongo. Hadi sasa ratiba ya mtihani huo bado haijatoka.
TAARIFA KWA UMMA TOKA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA - NECTA
Reviewed by Full habari Digital
on
18:15:00
Rating: 5
Post Comment
Hakuna maoni
Chapisha Maoni