RAIS MAGUFULI AFUMUA TENA BARAZA MAWAZIRI,SURA MPYA ZATAWALA,MBAYA WA KUBENEA NAYE AULA,SOMA HAPO KUJUA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza
la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya Kilimo
na Mifugo, Nishati na Madinina na kuongeza wizara mpya mbili na kufikisha jumla
ya wizara 21. Katika Mabadiliko hayo, Mawaziri wawili na manaibu waziri
wameongezwa.
KWA UFUPI HILI HAPA
MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI
Mawaziri jumla watakuwa 21 zimeongezeka nafasi 2
Manaibu jumla watakiwa 21 zimeongezeka nafasi 5
Majina ya mawaziri wateule ni kama ifuatavyo:-
Utumishi - mkuchika
Nishati - kalemani ; naibu - mgalo
Madini - kairuki ; naibu - nyongo
Ujenzi - mbarawa ; naibu - nditie (ujenzi) na kwandikwa (mawasiliano)
Fedha - mpango ; naibu - kijaji
Katiba - kabudi
Habari - mwakyembe ; naibu - shonza
Ndani - nchemba ; naibu -masauni
Maliasili - kigwangala ; naibu -kasunda
Ardhi - lukuvi ; naibu - mabula
Kilimo - tizeba ; naibu - mwanjelwa
Mifugo/uvuvi - mpina ; naibu - urega
Nje - mahiga : naibu - kolimba
Ulinzi - mwinyi
Maji - kamwele ; naibu - awoshio
Viwanda/biashara - mwijage ; naibu - manyanya
Elimu - ndalichako ; naibu - olenasha
Afya - mwalimu ; naibu - faustine
Tamisemi - jafo ; manaibu - sekamba na kakunda
MaZingira - makamba ; naibu - lugola
Vijana - mwamgama ; manaibu - mavunde na kipupa
Mwisho; mabadiliko yamefanyika kwenye bunge.
Katibu bunge - kagaigai
gumzo ni kwa Juliana Shonza ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Habari,Utamadauni na Michezo,
Juliana Shonza ambaye hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro Mbunge wa Ubungo John Kubenea ampaka kufukia hatua ya kushikana masharti nje ya Bunge Mjini Dodoma na kupeleka Mbunge Shonza kufungua kesi Mahakamani kumshtaki Mbunge kubenea ambaye ni Mwandishi Nguli wa habari nchini.
ENDELEA KUFUATILIA FULLHABARI.BLOG utawekewa baraza lote
ENDELEA KUFUATILIA FULLHABARI.BLOG utawekewa baraza lote