Zinazobamba

MDOMO KUMPONZA JERRY MURO,CHADEMA WAMKABA KOO KWENYE SAKATA LA LISSU,TIZAMA VIDEO HII ,SOMA HAPO KUJUA

Mkurugenzi wa Mafunzo na Operesheni wa Chadema, Kigaila Benson amehoji kwanini Jeshi la polisi lisimuhoji Jerry Muro kulingana na kauli yake aliyoitoa ikieleza kuwa atashangaa kama Jeshi la Polisi litawaacha akina Lema na Nasari baada ya kuachia video zikionesha jinsi ambavyo watendaji wa Serikali walivyohusika kuwanunua baadhi ya madiwani wa Chadema.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI