Zinazobamba

TAZAMA VIDEO JINSI PATASHIKA MAHAKAMANI LEO,KATI YA TIMU MAALIM SEIF NA LIPUMBA,SOMA HAPO KUJUA





Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo ilipanga kuendelea kusikiliza Shauri linalohusu Mgororo wa Chama Cha (CUF),

Mgogoro unatokana na kugawanyika mapande mawaili kwa Chama hicho ikiwa upande mmoja unamsapoti Professa Ibrahimu Lipumba na Upande Mwengine unamsapoti Katibu Mkuu Maalimu Seif Sharifu Ahamad.

Leo kwenye Mahakama hiyo kulikuwepo na Pande zote mbili 

Tazama full Video kisha Share na Usisahau Ku-Subcribe Muungwana Tv.