MUUNGANIKO WA TECNO NA MAN CITY WATOA BIIDHAA BORA.,SOMA HAPO KUJUA
Ilitegemewa Tecno Kutumia uhusiano huu na klabu hii maarufu katika biashara kwa kuleta bidhaa sokoni zilizo na uhusiano wa moja kwa moja na klabu hii ya mpira wa miguu kutokea nchini Uingereza ili kukuz soko lake, ndivyo ilivyotokea kwani Tecno wameingia kazini na picha zinaaanza kujieleza.
Uchaguzi wa simu itakayotumika kwaajili ya ushirikiano huu ni sahihi, kama ulikua haujui Tecno Camon CX, ni mfululizo wa matoleo ya camon yanakuja na kamera kali Zaidi ikiwa ni ya tatu katika matoleo yake.
KAMERA KALI : - Ina kamera yenye 16mp mbele , ikiwa na uwezo wa kupiga picha katika mwanga mdogo lakin pia flashi mbili mbele zinazosaidia kupiga picha za mbele nnzur maarufu kama selfie.
kamera ya nyuma inapiga Picha kwa haraka Zaidi.
Lakini pia mafaili yatakua salama kwasababu simu hii imewekewa usalama wa alama za vidole, lakini hii ya usalama wa vidole haiji kwaajili ya kazi moja tu ila pia itatumia kupigia picha kwa haraka Zaidi kwa spidi ya 0.1 sec.
Muonekano wa kibabe- if nothing else about this phone gets your
attention, its hardware will. The TECNO Camon CX Limited edition is a
smartphone fit for the top flight and a worthy bearer of “The Citizens” crest.
Kama hakuna kilichokushtu
kuhusu simu hii basi muonekano wake utakubeba moja kwa moja. Tecno Camon
CX tolea
maalumu la klabu ya Manchester
city ni simu ya kijanja inayokupa
nafasi ya kua daraja la juu.
Muonekano wa mwisho wa simu
hii unaonesha ni kwa jinsi gani simu janja hii
inakuja n amuonekano wa kibabe lakini ukiwa umebeba 64GB za kuhifadhi
vitu ndani ya simu bila kutumia memori kadi ya nje huku ikipewa RAM ya 4GB
inayotoa nafasi y akutumia Zaidi ya aplikesheni 50 kwa wakati mmoja.
.