Home
/
Unlabelled
/
SAKATA LA LIPUMBA KUWATUMA ''MAZOMBE' KUVAMIWA CUF YA MAALIM SEIF,WABUNGE WA UPINZANI NA NAPE WATOA NENO,SOMASOMA

Jana Chama cha wananchi CUF kilifanya mkutano wake na waandishi wa Habari maeneo ya Manzese Jijini Dare es Salaam ambapo walijitokeza watu wasiojulikana na silaa na kuwapiga viongozi na wanachama wa chama hicho pamoja na waandishi wa habari.
Sasa leo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye ameyaandika haya kuhusiana na vurugu hizo zilizosababishwa na watu hao wasio julikana….Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!! Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape

WABUNGE WA UPINZANI WALAANI ,SOMA HAPO
Dodoma. Wabunge wa Kambi Rasimi ya Upinzani wamelaani shambulizi la mkutano wa viongozi wa CUF upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif na waandishi wa habari na kuitaka Serikali kuhakikisha matukio ya namna hiyo yanakomeshwa.
Akizungumza kwa niaba ya wabunge ha leo Jumapili, naibu mnadhimu wa kambi hiyo, Ali Salehe amesema haiwezekani tukio kama la jana jijini Dar es Salaam likatokea katika nchi inayojali utawala wa sheria na uhuru wa kujieleza.
Salehe aliyeambatana na wabunge wengine wanane, amesema inashangaza kuona matukio ya watu kuvamia mkutano wakiwa na bastola hata baada ya tukio kama hilo kumtokea aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye.
Amemtaka Waziri wa Habari, Dk Harrison Mwakyembe na mwenzake wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba kujitokeza na kutoa tamko na vitendo kukomesha matukio hayo
Akizungumza kwa niaba ya wabunge ha leo Jumapili, naibu mnadhimu wa kambi hiyo, Ali Salehe amesema haiwezekani tukio kama la jana jijini Dar es Salaam likatokea katika nchi inayojali utawala wa sheria na uhuru wa kujieleza.
Salehe aliyeambatana na wabunge wengine wanane, amesema inashangaza kuona matukio ya watu kuvamia mkutano wakiwa na bastola hata baada ya tukio kama hilo kumtokea aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye.
Amemtaka Waziri wa Habari, Dk Harrison Mwakyembe na mwenzake wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba kujitokeza na kutoa tamko na vitendo kukomesha matukio hayo
SAKATA LA LIPUMBA KUWATUMA ''MAZOMBE' KUVAMIWA CUF YA MAALIM SEIF,WABUNGE WA UPINZANI NA NAPE WATOA NENO,SOMASOMA
Reviewed by Unknown
on
18:29:00
Rating: 5