Droo ya Kombe la Shirikisho imekamilika na sasa Simba na Azam FC zitakutana katika nusu fainali ya kwanza.
Mbao FC watakuwa wenyeji wa Yanga katika nusu fainali ya pili.
Nusu fainali ya kwanza itakayowakutanisha Simba na Azam FC itachezwa Aprili 29 na ile ya pili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza itachezwa Aprili 30.
YAMETIMIA KOMBE LA FA,KLABU YA YANGA USO USO KWA USO NA MBAO,AZAM FC NA SIMBA,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
18:42:00
Rating: 5