TUNDU LISSU NI KIBOKO,MAHAKAMA YAMPA DHAMANA,ASAFIRI NA KWENDA ARUSHA KWENYE TLS,SOMA HAPO KUJUA
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu
aliyefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashtaka matano.
Lissu
amesomewa Mashitaka matano(5) ambayo ni yale yale aliyofutiwa hapo
awali kuhusu maneno ya Uchochezi kwenye Uchaguzi wa Dimani,Zanzibar.
Serikali
imesema upelelezi umekamilika na ikaomba kesi ianze kusikilizwa
leo.Lissu aliiomba mahakama isisikilize kesi hii leo ili akashiriki
Uchaguzi wa TLS utakaofanyika kesho mkoani Arusha.
Mahakama
imekubali maombi ya Tundu Lissu na kumwachia huru kwa dhamana ya
milioni 10 ambapo tayari amekwishapanda ndege kuelekea jijini Arusha
Kushiriki Uchaguzi huo
A