MAMBO INOGILE KWA TUNDU LISSU TLS,LAWRANCE MASHA AJITO NA KUMUUNGA MKONO LISSU,SOMA HAPOKUJUA
Wakati
kesho kukitarajiwa kufanyika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria
wa Tanganyika, leo wanasheria hao wamekuatana Arusha kwenye mkutano mkuu
wa chama cha wanasheria hao.