PICHA: Rais Magufuli Azindua Mwaka Mpya Wa Kimahakama Jijini Dar Es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma
wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya
Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo
February 2, 2017
Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma akihutubia wakati wa
uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya
Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya
Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo
February 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika
viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es
salaam leo February 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipokea ripoti ya mahakama kuhusu kesi za uchaguzi kutoka kwa Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma wakati wa uzinduzi wa
Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa
Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017. Kulia ni
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akikabidhi kwa Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai ripoti ya mahakama kuhusu
kesi za uchaguzi wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika
viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es
salaam leo February 2, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
A