HIVYI NDIVYO MAULID YA MTUME MUHAMMADI (REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE) ILIVYOFANA KATIKA MSIKITI WA UDOE
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally (wa pili kulia ) akiwa pamoja Viongozi wengine wa Dini ya Kiislamu katika sherehe ya mazazi ya mtume yaliyofanyika msikiti wa Udoe jijini Dar es Salaam mapema hvi karibuni. |