BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA HAVINA MAZINGIRA BORA-KAIMU RC, HAPI,AIFAGILIA KAMPUNI YA TOTAL,SOMA HAPO KUJUA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alli Hapi pamoja na Mwenyekiti wa Total Afrika Mashariki na Kati, Jean Christian Bergeron(wa pili kutoka kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi cha Total kilichofanyiwa maboresho kilichopo maeneo ya Sokota jijini Dar es Salaam. |
KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Hapi
amesema kuwa baadhi ya vituo vya mafuta havina ubora wa mazingira licha ya kuwa
na majina makubwa.
Hapi ameyasema hayo leo wakati uzinduzi wa maboresho ya kituo cha mafuta cha Total kilichopo maeneo ya Sokota barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam, amesema vituo vya mafuta vinahitaji kuwa mazingira bora kutokana na huduma wanayoitoa.
Amesema Total imejikita katika uhifadhi wa mazingira kwa kutengeneza vituo bora vya mafuta tofauti vituo vingine ambavyo havisadifu na majina ya kampuni na kuwaasa kuboresha vituo vyao ili kuendana na mazingira ya kisasa.
Hapi amesema kuwa vilanishi vinavyopatikana katika kituo hicho kujenga kiwanda nchini kutokana na kuwepo kwa magari mengi na yatazidi kuongezeka kutokana na viwanda vinavyojengwa nchini.

Katika uzinduzi huo ameomba mafuta lita 10,000 kwa
kampuni ya Total kwa ajili ya kutumia katika uchongaji wa barabara za manispaa
ya Kinondoni ambapo alikubaliwa kupewa lita hizo.
Amesema kuwa kuna kampuni imejitolea kutoa mitambo ya kufanya kazi hiyo lakini waliomba mafuta nijitegemee kwa kupata mafuta kwa hayo kazi itafanyika.
Amesema kuwa kuna kampuni imejitolea kutoa mitambo ya kufanya kazi hiyo lakini waliomba mafuta nijitegemee kwa kupata mafuta kwa hayo kazi itafanyika.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alli Hapi akipeana mkono na Mwenyekiti wa Total Afrika Mashariki na Kati, Jean Christian Bergeron kuashiria uzinduzi cha Total kilichofanyiwa maboresho kilichopo maeneo ya Sokota jijini Dar es Salaam |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Total, Tarik Moufaddal(kulia) akizungumza katika uzinduzi wa ya kituo hicho. |
Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Total, Tarik Moufaddal amesema kituo cha mafuta kuboreshwa kuendana na wakati wa sasa kutokana na huduma wanayoitoa.