SERIKALI YALIKOMALIA GAZETI LA MTANZANIA,LAILIMA BARUA KALI,SOMA HAPO KUJUA
WAKATI Rais Joh
Magufuli anatimiza Mwaka mmoja madarakani huku ni teyari serikali yake
imeyafungia Magazeti ya Mawio,Mseto pamoja na vituo vya redio ya Magic Fm
pamoja na Redio Five kwa madai vituo hivyo vimerusha na kuandika taarifa za uchochezi.
Sasa Serikali hiyo imeibuka na kulionya Gazeti la
Mtanzania kwa kile inachosema Gazeti hilo imeandika habari ya kumdhalilisha
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jaka Kikwete
.
TAMKO LAKE
HILI HAPO