MAGARI MAPYA YAKABIDHIWA MOROGORO NA ZANZIBAR BAADA YA KAMPENI YA WHITEDENT YA KUADHIMISHA MIAKA 25 KUISHA.SOMA HAPO KUJUA
Mshindi
was bahati nasibu ya miaka 25 ya Whitedent Tanzania, Juma Khamis Issa,
akitoa shukrani katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Golf mini Unguja.
|
Mshindi kutoka Morogoro, Brian Elisante Nnko akipokea kadi ya gari aina ya Suzuki Alto Kio, aliyojishindia baada kushiriki shindano la miaka 25 la Whitedent Tanzania. |
Mshindi wa shindano la "Shinda Gari na Whitedent", Brian Elisante Nnko kutoka Morogoro akiwa ndani ya gari alilojishindia. |