Meneja wa kampuni ya Whitedent Mkoani Mtwara, Ketan Patel (kulia) akimkabidhi funguo ya gari kwa mkazi wa Magomeni Mtwara Mikindani, Zuberi Said Bilali aliyeibuka mshindi katika promosheni ya "Shinda gari" iliyoanzishwa na kampuni hiyo kusheherekea miaka 25 ya utoaji wa huduma nchini. Katikati ni Ofisa Utamaduni wa manispaa hiyo, Happiness Maduhu. Mmoja ya mshindi wa shindano la Whitedent, Zuberi Said Bilali kutoka Mtwara akiwa ndani ya gari alilojishindia, aina ya Suzuki Alot Kio Bwana Zuberi Said Bilali akitoa shukrani baada ya kujishinda gari jipya katika hafla ya kukabidhi gari kwa mshindi Mjini Mtwara.