HUYU NAYE AULA CHEO NDANI YA CCM,SOMA HAPO KUJUA
Halmashauri Kuu ya CCM imemteua aliyewahi kuwa Mkuu
wa Wilaya ya Chato na baadaye mshauri wa Rais masuala ya siasa, Bwana Rodrick
Mpogolo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, akichukua nafasi
ya Rajab Luhwavi aliyeteuliwa kuwa Balozi