BAADA YA RAIS MAGUFULI KUWARUHUSU WAMACHINGA,MAMBO YAWA HIVI SASA,SOMA HAPO KUJUA
Jana
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa
wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo
Machinga katikati ya mji.
Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara
A