Zinazobamba

TRA NA KITUO CHA TIC YAWAPA DARASA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHI YA CHINA,NI KUHUSU KODI,SOMA HAPO KUJUA

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/08/DSC_0232.jpg
Pichani ni Mkurugenzi wa Elimu kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato nchini Richard Kayombo
NA KAROLI VINSENT
KATIKA kuhakikisha serikali inapata mapato yake ipasavyo yatokanayo na kodi wawekezaji wa kutoka nchini China wamepaswa kujisajili katika kituo chauwekezaji nchini (TIC)Pamoja mamlaka ya Mapato nchini (TRA) .

Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Elimu kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato nchini Richard Kayombo katika ufunguzi wa semina ya kumi natano ya miaongozo nasheria za ulipaji kodi nchini ambapo amesema kuwa ilikuweza kukuza sekta yaviwanda nchini china nimdau mkubwa katika suala zima la uwekezaji hivyo nivyema wafanyabishara nawawekezaji katika nchi hiyo kuweza kuzifahamu taratibu na kanuni za ukwekezaji .


''Tunataka china iweze kutuletea viwanda ilikuwawezesha vijana wetu waweze kupata ajira lakini kama dira ya serikali ya awamu ya tano imelenga ukusanyaji wakodi mbalimbali ikiwemo kodi za mapato ,lakini pia tunataka wadau wetu hasa wasekta ya uwekezaji kuweza kuzifahamu sheria zauwekezaji na ulipaji wa kodi ilikuweza kuhahakikisha Tanzania inafikia katika dira yauchumi wa viwanda ''Amesema Mkurugenzi wa elimu kwa Mlipa kodi Richard Kayombo .

Mkurugenzi Kayombo amesema kuwa kumekuwa changangamoto mbalimbali ambazo zimekuwa nikikwazo katika sekta ya uwekezaji nchini ikiwemo Baadhi ya wawekezaji kutofahamu sheria na kanuni za uwekezaji nchini jambo linalochangia sekta hiyo kurudishwa nyuma .

Amesema kuwa niwakati mahususi kwa viwanda vilivyofungiwa china kuja kuwekeza hapa nchini kwani viweza kuchochea uchumi waviwanda nakuiwezesha Tanzania inafikia katika uchumi wakati kama ilivyo nchi ya china .
''ninawataTIC pamoja na TRA kuya sajili makampuni yote yakutoka china ilikuondokana na makampuni ya kutoka china ambayo yamekuwa nimakampuni ya wapigaji wanakuja hapa bila kulipa kodi nakuweza kusababishia upotevu wa mapato ya serikali ''Ameongeza Kayombo .

Kaimu Mkurugezi wa Viwanda na Biashara cliford Tandari amewataka wawekezaji wakutoka china kuweza kujenga viwanda ilikuweza kukuza mazingira mazuri yakibiashara ili tanzania na china waweze kunufanika na uwekezaji huo