Zinazobamba

MZIMU WA AJALI WALITESA TAIFA,AJALI MBAYA YATOKEA NCHINI,SOMA HAPO KUJUA

Watu 17 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za usajili T232BQR iliyotokea jana usiku katika kijiji cha Nsalala mkoani Shinyanga.

A