Zinazobamba

SERIKALI YAZIFUTA SHULE HIZO,SOMA HAPO KUJUA



WANAFUNZI nchi wamehaswa kupenda kusoma masomo ya Sayansi ili kuweza kwenda sawa na serikali ya awamu ya tano ambayo imejimbanea kuwa itakuwa serikali ya viwanda.

Ushauri huo umetolewa Mwishoni mwa wiki na Mkemi mkuu wa serikali,Profesa Samweli Manyele wakati wa utoaji zawadi kwa wanafunzi wa kidato na cha sita waliofanya vizuri kwenye mtihani wa somo la   Kemia.

Amesema ili serikali ya viwanda itimie ipasavyo inatakiwa kwa wanafunzi nchini kijibidisha katika kusoma masoma ya sayansi ambayo amedai yanaendana na mabadiliko ya viwanda nchini.
“Nawaomba wanafunzi nchi kupenda kusoma masomo ya sayansi ili iweze kuisaidi serikali ya awamu ya tano ambayo imedhamilia kuwekeza kwenye viwanda,na viwanda haviweze vikaendelea bila ya kuwa na watu wenye ujuzi na masomo ya sanyansi”alisema Profesa Manyele