SOKO LA HISA DSE YAZIDISHA MALENGO YAKE,SOMA HAPO KUJUA
HATIMAYE
SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM (DSE),LIMEWEZA KUFIKIA MALENGO YAKE BAADA YA
KUUZA HISA ZAKE KATIKA MAKAPUNI MBALIMBALI NAKUWEZA KUFISHA SHILINGI BILONI
35.7 KWA HATUA YAKE YA KUUZA HISA 150000
KWA SHILINGI 500 AMBAPO KAMPUNI HIYO AWALI LIKUWA INAHITAJI SHILINGI BILIONI
7.5SAWA NAONGEZEKO 376 YA KIWANGO KILICHOKUWA KINAHITAJIKA NA NA SOKO HILO LA
MITAJI NCHINI .
AKIZUNGUZA
NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO JIJINI DAR ES SALAAM AFISA MTENDAJI WA
SOKO HILO MOREMI MARWA AMESEMA KUWA ONGEZEKO HILO LIMECHANGIWA NA WAWEKEZAJI
WANJE KUUKUZA MTAJI WAO KUPITIA SOKO HILO KWAKIASI CHA SHILINGI BILIONI 25
WAKATI HUO HUO WAWEKEZAJI WA NDANI WALIWEZA KUKUZA MTAJI YAO KUPITIA SOKO HILO
KWA SHILINGI BILIONI10 .
"KUTOKANA
NAMATOKEO HAYA TUMEWEZA KUPATA SHILINGI BILIONI 22AMBAZO HAPO AWALI HATUKUWA
TUNAZIHITAJI HAPO AWALI HIVYO BASI KUTOKANA NAMATOKEO HAYA TUNAWAHAIDI WATEJA
WETU NAWAWEKEZAJI KUPITIA SOKO LETU LAHISA TUTASHIRIKIANA NA ILI KIWANGO CHA
UWEKEZAJI KATIKA SOKO LETU KIWEZEKUONGEZEKA MARA DUFU ‘’’ALISEMA MOREMI
MARWA .
AFISA
MTENDAJI WA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAM MARWA ALISEMA KUWA HUU NIWAKATI MUHIMU
KWA WAWEKEZAJI KUWEZA KUWEKEZA MITAJI YAO KWA KUNUNUA HISA ZINAZOTOLEWA NA
MAKAPUNI MBALIMBALI KUPITIA SOKO HILO .
MKUU
WAKITENGO CHA USHAURI WA KIBIASHARA KAMPUNI ORBIT SECURITES CO.LTD
LAUREAN MALAWI WA SOKO LAHISA LA DAR ES SALAAM LINALO FURSA NYINGI
KATIKA KUKUZA MTAJI NAKUWEZA KUJENGA UCHUMI KWA WAWEKEZAJI WANAONUNUA HISA
KUPITIA SOKO HILO .
Alisema kuwa kumeweza kuwa na maombi ya watu wengi ambapo jumla
ya watu 3200 wanaomba kuwekeza katikasoko hilo kupitia masoko yamitaji nihatua
kubwa hali hii hiyo inatoa dira kuwa soko hilo limeanza kukuza ushindani katika
Masoko mengine ya mitaji barani afrika ikiwemo soko lahisa la Nairobi nalile
lakutoJohanseburg afrika
Post Comment
Hakuna maoni
Chapisha Maoni