SERIKALI YAOKOA BILIONI 23 KWA MIEZI MIWILI TU,WAZIRI KAIRUKI AWATANGAZA MSAKO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOGUSHI VYETI,SOMA HAPO KUJUA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairukiakizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
ambayo hufanyika Juni 16 -23 kila mwaka.
|
NA
KAROLI VINSENT
SERIKALI
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeokoa zaidi ya shilingi bilioni 23 kwa
kuondoa watumishi hewa katika mfumo malipo ya mishahara ya serikali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa habari, amesema kuwa kiasi hicho kimepatikana mara baada ya kuanza kwa kutafuta watumishi hewa wa serikali.
Amesema kuwa watumishi ambao wameshaondolewa tangu Machi, 1 hadi Mai 30 ni watumishi 12,246 ameondolewa kwenye mfumo wa malipo ya mishahara ya Serikali kwa sababu mbalimbali ikimo kutimiza umri wa Kustaafu kwa lazima, kufukuzwa kazi, vifo na kuhitimishwa kwa mikataba.
Aidha amesema kuwa wasingeondolewa kwenye mfumo wa mishara kwa wafanyakazi wa serikali zaidi ya shilini Bilioni 25 zingepotea.

Katika
hatua nyengine,Waziri Kairuki Kwa sasa Serikali inafanya msako mkali wa
kuhakiki vyeti vya elimu kwa watumishi wote wa umma nchini ili kuwataufuta wale
wote waliofoji vyeti.
Amesema
mpaka sasa wameshafakiwa kuwabaini watumishi waliogushi vyeti 214 katika
kipindi kifupi tu walichoanza kuhakiki huku akidai zoezi hilo linaendelea.
Amesema
watumishi hao 214 watachukuliwa hatu
ikiwemo kufukuzwa kazi na kupandisha mahakamani kwa kosa la kugushi vyeti.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni