MFUKO KWAAJILI YA MAENDELEO VIJIJINI WATANGAZA WASHINDI WA SHINDANO LA ONGEZA KIPATO,NA WATANGAZA SHINDANO JINGINE,SOMA HAPO KUJUA
Pichani ni
Mshauri wa masuala ya Kitaalamu wa Taasisi ya MasterCard Foundation ,
Gabriel Kavuti akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo
kuhusiana na kuwatangaza washindi wa tuzo kwa makampuni matano yenye thamani ya
dola ka kimarekani 10 kwaajili ya kuimarisha uchumi wao wa ubunifu.
|
NA KAROLI VINSENT
LICHA ya vijiji vya Tanzania kutajwa kukithiri kwa
umasikini ambao umesababishwa na kipato kidogo kinachotokana na shughuri
zinavofanywa vijini huko , Taasisi ya MasterCard Foundation imetangaza washindi wa
shindano la Ongeza kipato (Scaling Competition) kwa shindano la mwaka jana na
pia limezindua shindano jingine la mwaka huu ambalo linatarajiwa kutoa mchango
chanya kwa Watanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo
Mshauri wa Taasisi hiyo, inayojihusisha na maendeleo vijijini lijulikanamlo kama Foundation, Fund for Rural Prosperity, Gabriel Kavuti amesema kuwa shindano hilo litawaongezea kipato watu wanaoishi vijijini kwa kuweza kushindana katika shindano hilo ambalo amedai ni jepesi.
Amesema kuwa makampuni mengi yanaingia katika shindano hilo yanatakiwa kuwa na mapendekezo yakuongeza kipato na kuleta mabadiliko ya kweli ya kifedha kwa watu wanaoishi vijijini ambao wanatajwa kuna na matatizo ya kiuchimi yanatokana na kipato kidogo.
Kavuti amebainisha kuwa makampuni yanayotaka kushiriki katika shindano hilo yanaweza kutembelea website yao ya www.frp.org. ili kupata fomu ya kushindania shindano hilo.

Maoni 1
Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.
WhatsApp; +31 687 329 133
Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon
Chapisha Maoni