Zinazobamba

MABASI YA DART YAZIDI KUMBANA NA MAJANGA,SOMA HAPO KUJUA

Basi jingine la mwendo kasi limepata ajali mabaya eneo la Magomeni Usalama. Ni baada ya gari dogo kukatisha kwenye barabara ya magari ya mwendo kasi.


Advertisement

Hakuna maoni