MARUDIO YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAZIDI VIPASUA VYAMA VYA SIASA,CCK YAMFUKUZA KIGOGO WAKE,NI YULE ALIYEKUBALI KUSHIRIKI UCHAGUZI ,SOMA HAPO KUJUA
chama cha kijamii CCK kimemsimamisha kazi
na uanachama naibu katibu mkuu wake wa Zanzibar Ali Khatib Aliambaye pia alikuwa mgombea urais wa Zanzibar kwenye uchaguzi
uliotangazwa kufutwa na ZEC Oktoba 2015.
Mwenyekiti wa CCK Costantine Achitanda amesema chama kimefikia maamuzi hayo ili kupisha uchunguzi dhidi yake kufuatia uamuzi wake binafsi wa kutangazia umma kuwa CCK itashiriki uchaguzi wa marudio huko Zanzibar kinyume na taratibu za chama.

Hakuna maoni
Chapisha Maoni