BREAKING NEWS,MAPIGANO MATUPU UCHAGUZI WA MEYA WA JIJI,POLISI WAVAMIA UKUMBINI NA KUTEMBEZA VIRUNGU,NI BAADA YA UCHAGUZI KUPIGWA PINI,SOMA HAPO KUJUA
Polisi wakipambana na Madiwani wa UKAWA mara baada ya Uchaguzi huo kuhairishwa tena leo kutoka na kesi iliyoko mahakamani iliyofungiliwa
Mbunge wa KIbamba John Mnyika akiongea na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe kupata ufumbuzi baada ya vurugugu kutokea
Polisi wakiwa wamekaa kwenye jukwaa la juu kupinga uchaguzi kufanyika
VURUGU kubwa zimetokea wakati wa Uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam,mara baada ya uchaguzi huo kuhairishwa tena mwa mara ya nne leo,huku Jeshi la Polisi likivamia ukumbi wa Karimjee na kuanza kupambana na Madiwani na wabunge wa Muunganiko wa umoja wa Vyama vinavyounda UKAWA.Simulizi hii inasimuliwa na KAROLI VINSENT endelea nayo

Tukio hilo la aina yake limetokea mda huu Jijini
Hapa mara baada ya mkurugenzi wa Jiji kutanga kuhairisha uchaguzi huo kwa madai
ya uchaguzi huo kuwekewa pingamizi mahakamani , huku jambo hilo lilowachukiza madiwani wa UKAWA
wakidai kuwa hawajapata barua hiyo ya kesi hiyo.
Mara baada ya UKAWA kugomea hoja hiyo ndipo
wakafikia hatua ya ya kutaka kufanya
uchaguzi wenyewe huku wakisema akidi ya madiwani kufanya uchaguzi imetimia na
wakaomba waendelee kufanya uchaguzi huo,
Wakati wakijiiandaa kufanya uchaguzi huo ukawa wenyewe ,ndipo
Polisi zaidi ya 15 wakavamiaka ukumbi huo na kuwataka kuwakamata madaiwani wa
ukawa ili waondoke ukumbini kuzuia uchaguzi usifanyike,jambo lilowachukiza tena
ndipo Polisi wakaanza kupambana na madiwani wa Ukawa kama picha unavyoziona hapo,
ENDELEA KUFUATILIE FULLHABARI,BLOGS UTAPATA HABARI
KAMILI
Maoni 1
Acha udaku,unasema polisi wanapambana na madiwani kama picha zinavyoonesha wakati kwenye picha kila mtu kasimama kivyake
Chapisha Maoni