VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU VYA ELIMU YA JUU NCHINI (TAHLISO) WAKUTANA DAR ES SALAAM KUJADILI CHANGAMOTO ZA WANACHUO NCHINI.
Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO), Noves
Katabaro,akizungumza na marais wa vyuo mbalimbali nchini katika mkutano
uliokuwa unajadili maendeleo na hatma ya vyuo vikuu nchini katika changamoto
wanazokumbana nazo wanachuo hasa katika kipindi cha kupata mikopo na huduma
nyinginezo,mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa chuo cha ustawi wa
jamii,Bamaga,Mwenge,jijini ad res Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa tahliso
nchini,Stanslaus Peter,Makamu mwenyekiti tahliso na Rais wa chuo cha utawala wa
umma Zanzibar,Juma Ali Omar na Mwenyekiti baraza kuu tahliso,Boniphace Maiga. Picha
zote na Elisa Shunda
Marais wa vyuo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo wakimsikiliza mlezi
wa shirikisho hilo,Noves Katabaro (hayupo pichani) wakati akifungua
mkutano huo
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO)
nchini,Stanslaus Peter,akizungumza katika mkutano huo baada ya kumtambulisha mlezi wa shirikisho hilo
Marais wa vyuo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo wakimsikiliza mlezi
wa shirikisho hilo,Noves Katabaro (hayupo pichani) wakati akifungua
mkutano huo
Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO), Noves
Katabaro, akisindikizwa na Mwenyekiti wa Tahliso nchini,Stanslaus Peter, (kulia) baada ya kumaliza kuzungumza na wajumbe na marais wa vyuo mbalimbali nchini.
Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO), Noves
Katabaro, akifanya mahojiano na waandishi wa habari, baada ya kumaliza mkutano na wajumbe na marais wa vyuo mbalimbali nchini. Katikati ni Mwenyekiti wa Tahliso nchini,Stanslaus Peter.
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO)
nchini,Stanslaus Peter,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu lengo
la mkutano huo wa marais wa vyuo mbalimbali nchini ambao ulikuwa
unajadili changamoto wanazokumbana nazo wanachuo tanzania hususani
katika suala la kupata mikopo.Pembeni yake ni Rais wa Chuo cha Biashara
(CBE) Kanda ya Ziwa,Manusura Lusigaliye.
Mwenyekiti wa baraza kuu la tahliso,Boniphace Maiga (katikati) akibadilishana mawazo na wajumbe wa mkutano huo.
Makamu mwenyekiti na Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar
(IPA),Juma Ali Omar (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe
wa mkutano huo.
Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO),
Noves
Katabaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na marais wa vyuo
mbalimbali nchini baada ya mkutano huo uliokuwa unajadili changamoto
mbalimbali wanazokumbana nazo wanachuo hasa katika suala la kupata
mikopo.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni