RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE LEO TAREHE 28 JANUARY,SOMA HAPO KUJUA
RAIS John Magufuli amemteua Julian Banz Raphael kuwa
naibu Gavana wa Benki kuu nchini.(B.OT) anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo,
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu
mkurugenzi mkuu wa Mawasiliano ya Ikulu,Gerson Msingwa kwa vyombo vya habari ambapo taarifa hiyo
imesema Rais Magufuli amemteua Raphael kushika nafasi hiyo baada ya kuachwa
wazi na alikuwa anaishikilia Juma Reli ambaye muda wake ulifikia ukomo tarehe 22
Julai 2015.
Awali
Raphael alikuwa Katibu mkuu wa Wizara baishara na viwanda,serikali ya mapinduzi
ya Zanzibar
Hakuna maoni
Chapisha Maoni