AKILI YA MBUNGE NASSARI KWA WAPIGA KURA WAKE TU,TIZAMA ALICHOFANYA HICHI,
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akiwa katika
moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou
nchini China.
Mheshimiwa Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo
kuona namna ya kuapata vifaa hivyo kwa ajili ya kusidia katika Hosptali
ya wilaya ya Arumeru na vituo vya afya.
Mh Nassari akiwa amelala kwenye moja ya vitanda vya wagonjwa alivyokuta katika karakana hiyo.
Mh ,Nassari akipita katika karakana hiyo .
Mh Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo ambako
anatarajia kutumia fedha za mkopo wa gari la Ubunge kwa ajili ya
kununua vitanda 200 ,viti vya magaurudumu pamoja na kabati ndogo za
kuhifadhia dawa pamoja na vifaa vidogo vya matibabu.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni