AFYA YA SUMAYE YAITIKISA SERIKALI YA MAGUFULI,NAYE WAZIRI MKUU WAKE KASIM MAJALIWA AMFUATA HOSPITALI,SOMA HAPO KUJUA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri
Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa
ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye

AFYA ya Waziri mkuu mstaafu,Fredrick Sumaye ni kama
imeitisa serikali ya Rais John Magufuli ndivyo naweza kusema mara baada ya Jana
Rais magufuli kumjulia hali Sumaye ambaye ni mwanachama wa chama cha demokrasia
na maendeleo chadema,alipolazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini dar e s Salaam,
Ambapo leo pia waziri mkuu,Kassim Majaliwa naye
ameenda kumjulia hali Hospitalini hapo huku akiongoza na Mkewe ,Marry,
Akizungumza mara baada ya kutembelea,Sumaye ametoa
pongezi kwa Waziri mkuu kwa kuonesha upendo na kumjulia hali afya yake.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni