WATAELEWA TU KWA LOWASSA,ASIMAMISHA SENGEREMA LEO,TIZAMA BALAA LAKE HILI,SOMA HAPO KUJUA
MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vya Ukawa Edward Lowassa
amezidi jibitishia hana mpinzani nchi,baada ya kuonyesha anaungwa mkono kwa
kishindo kikubwa na Umati wa wananchi wanajitokeza kwenye mikutano yake.
Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vya
NCCR-Magenzi,Chama cha Wananchi CUF ppamoja na Nld amesema hatma ya nchi ipo
kwa watanzania kwa kumwezesha kushindwa kwa kishindo kwenye nafasi hiyo ya
Urais ili aje kuliokoa Taifa na hali mbaya ya Uchumi iliyopo sasa,
Hakuna maoni
Chapisha Maoni