Zinazobamba

UWIIIIIIIIIIII LOWASSA NI HATARI, AVUNJA REKODI MWANZA.WATU 50 WAPOTEZA FAHAMU,MJI MZIMA WASIMAMA,SOMA HAPO KUJUA

Lowassa  amelitikisa  jijini  la  Mwanza  jioni  hii  ambapo  mwandishi  wetu  ameshuhudia  zaidi  ya  watu 50  wakipoteza  fahamu  baada  ya  uwanja  huo  kujaa  kupita  uwezo  wake
SIKU mpja kupita baada ya Mgombea Urais kuipitia Chadema Edward lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vya Ukawa Edward lowassa kutikisa Mkoani Msoma,
Basi balaa hilo limeamia Mkoani Mwanza leo na kusababisha mji mzima wa Mwanza kusimama huku shughuli zote kufungwa kumpisha Lowassa azungumze nao,
Mkutano huo wa Lowassa umepelekea watu zaidi ya 50 kupoteza fahamu baada ya umati mkubwa wa watu waliojitokeza uwanjani hapo,

Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi,CUF,NLD amewataka watu wa mwanza kujitokeza na kumpigia kura hapo Octoba 25 ili aweze kuondoa tatizo la umasikini ambalo limekuwa na laana kwa watanzania.

Hakuna maoni