Zinazobamba

KUDADEKI LOWASSA ACHENI JAMANI TIZAMA HII MUSOMA MJINI NI SHIDA,MPENI NCHI YEKE JAMANI,TIZAMA GHARIKA HIILI KWA KUBOFYA HAPO,SOMA HAPO KUJUA


MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
Chadelma,Edward Lowassa ametikisa maeneo ya Musoma mjini leo,huku mafuriko yake yakisababisha huduma zote zikisimama,maoneyo yote ya Msoma Mjini.
Lowassa ambaye anaungwa mkono kwa pamoja na Vyama vya CUF,NCCR-Mageuzi pamoja NLD,ambapo ametumia mkutano wake huo kuwataka watanzania kumchagua ili awe Rais wa awamu ya Tano ili awatatulia Matatizo mbali mbali yanayo wakabili watanzania,
Lowassa akizungumza kwa uchungu amesema inasitika kuliona Taifa kama Tanzania lenye Rasilimali nyingi huku wananchi wake wakiwa masikini wa kutupwa,

Amesema akifanikiwa kushika dora atahakiksiha Rasimili zilizopo nchin zinakuwa kwa faida kwa kila mtanzania na kuondokana kabisa kwa tatizo la Umasikini

Hakuna maoni