DK SLAA AENDELEA KUTUMIKA KUUBOMOA UPINZANI NCHINI ,ATUMIA STAR TV KULIPIZA KISASI,SOMA HAPO KUJUA
NAYEJIITA na kuitwa mwanasiasa mstaafu Dk Wilbroad
Slaa ameendelea kujitumikisha kwa chamacha mapinduzi CCM bila yeye kujijua.AnaandikaKAROLI VINSENT
endelea nayo.
Akihojiwa leo kwenye kituo cha Luninga kinchomilikiwa
na Mwenyekiti wa Kampeni wa Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Antony
Diallo,ametumia mda mwingi kumshambulia mgombea wa Urasi kupitia Chama cha
Demikrasia na Maendeleo Chadema Edward lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama
vinavyounda Ukawa,
Ambapo Katibu huyo wa Zamani wa Chadema aliyetekwa
na mchumba yake mama Mushumbuzi amesema Taifa alimtaji Rais anayezungumza mda
wa Dakika tano.Slaa huku akimlenga Lowassa ambaye ni mgombea anayekubalika kwa
kila mtanzania wa leo.
Slaa Amekili Taifa linaitaji mabadiliko lakini
linaitaji kiongozi wakweli wenye nia ya dhati,Slaa huku akitumia kipindi hicho
kukishambilia chama cha CCM amesema kimeshindwa kumkomboa mtanzania wa leo
kwenye lindi la umasikini.
Hata hivyo Slaa
ameungana na aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya Katiba ya wananchi Jaji
Warioba ambaye amesema Rushwa ni tatizo kubwa katika nchi.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni