Zinazobamba

BREAKING NEWS,LOWASSA NAYE KAMA MAALIM SEF,AJITANGANGAZIA USHINDI,SOMA HAPO KUJUA


MGOMBEA wa Urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama vya Ukawa,Edward lowassa  ameibuka na kujitangazia ushindi kwa kusema ameshinda kwa asilimia 61 zidi ya mgombea wa CCM,John Magufuli.Anaandika KAROLI VINSENT nedlea nayo.
     Akijitangazania Ushindi huo mda huu Jijini Dar es Salaa mbele ya wanahabari,ambapo lowassa amesema baada ya kamati ya ukawa imejumlisha matokeo yote nchizi zima  wamejilidhisha pasipo shaka kuwa amepata kura zaidi milioni 1o zidi ya mgombea wa CCM,
Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kumtangaza mara moja na kuacha kupotosha umma.

ENDELEO KUFUATILIA FULLHABARI.BLOGS UTAPATA TAARIFA KAMILI

Hakuna maoni