BAADA YA KUMNG"OA WASSIRA,HAYA NI MANENO MATAMU ALIYIYASEMA ESTER BULAYA,SOMA HAPO KUJUA
Hakuna kisichowezekana
chini ya jua, asante wanabunda,kwakuniamini, hatimaye ameng'oka.mungu wangu
asante kwa kunisiimamia. Nimeshinda nasubiri kutangaza rasmi.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni