MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AJITANGAZI URAIS ZANZIBAR,SOMA HAPO KUJUA
mgombea
urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha
mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya
fomu zote za matokeo kutoka vituoni, yeye amepata kura 200,007 dhidi ya kura
178,363 za mgombea wa CCM anayetetea nafasi yake, Dk. Ali Mohammed Shein, na
kuitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kutangaza matokeo halisi kama
yalivyo kwenye fomu zinazotoka vituoni.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni