UKAWA YACHUKUA YASHINDA WABUNGE HAWA,SOMA HAPO KUJUA
Mgombea wa CUF/UKAWA Jimbo la Tandaimba Mtwara Ahmed Katani Katani ameibuka mshindi na kutangazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hilo
Mgombea wa CHADEMA/UKAWA Bilago Kasuku Samson wa jimbo la Buyungu Kigoma atangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo
Chanzo::EATV
Hakuna maoni
Chapisha Maoni