Zinazobamba

NI KWA NEEMA TU NA LOWASSA,TIZAMA BALAA LAKE DODOMA LEO,AVURUGA NGOME YA CCM,SOMA HAPO KUJUA








MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa amezidi pasua anga ndani ya nchi,
         Baada ya leo kutikisa ngome ya CCM mkoani Dodoma na kushuhudiwa na Maelfu ya wakazi wa Mkoa huo kama ambayo  picha zinavyoonyesha,
   Ambapo katika Kampeni hizo zinazoendelea kwa stairi ya mchaka mchaka Lowassa amewataka watanzani kutofanya Makosa tena ya kukichagua Chama cha Mapinduzi CCM kwa kusema hakina nia wala upendo kwao.
  Amesema CCM ndio iliyowafanya watumbukie kwenye umasikini wa kutupwa kutokana na chama hicho kutokuwa na sera wala mwelekeo kwao

  PICHA ZENGINE ZA BALAA LA LOWASSA DODOMA HIZI HAPA



MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa amezidi pasua anga ndani ya nchi,
Baada ya leo kutikisa ngome ya CCM mkoani Dodoma na kushuhudiwa na Maelfu ya wakazi wa Mkoa huo kama ambayo  picha zinavyoonyesha.





Hakuna maoni