Zinazobamba

KUDADEKI LOWASSA NI BALAA,TIZAMA HILI LA DODOMA,AHARIBU NGOME YA CCM,SOMA HAPO KUJUA


Lowasa katika viwanja vya BARAFU dodoma leo ameweka Historia katika mkutano huo kwa umati mkubwa wa watu uliojitokeza kumlaki na kumsikiliza.

Baada ya mkutano kumalizika wananchi hawakuridhika wakaamua kumsindikiza hadi nyumbani kwake dodoma na umati mkubwa sana uliwasili nyumbani kwake wakifwatana na msafara wake jambo ambalo halikuwahi kutokea kwa mgombea mwingine katika mji huo ambao ni mji mkuu wa Tanzania







Hakuna maoni