WATOA RUSHWA CCM WASHINDA UBUNGE,SOMA HAPO KUJUA
KATIKA hali
siyokuwa ya Kawaida Chama cha Mpinduzi CCM kimeendelea kuwakumbatia makada wake
waliotuhumiwa na kutoka rushwa kubwa,baada ya kupita kwenye kura za maoni
kwenye nafasi ya Ubunge.
Makada hao
wakiongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauya pamoja na Naibu Waziri
wa Fedha Mwigulu Nchemba hebu tizame na wengine hapo chini.
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Patel - Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki -
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua
24.Mwakasaka -Tabora mjini
25.Fenala Mkangara -Kibamba
26.Mapunda-Mbinga mjini
27.Masele -Kahama
28.Antony Mavunde-Dodoma hizi ndio data nilizopata
Hakuna maoni
Chapisha Maoni