BREAKING NEWS,MBUNGE WA MUHIMU WA CCM AHAMIA CHADEMA,SOMA HAPOA KUJUA
KATIKA NI DAKTA MAHANGA |
HABARI
zilizotufikia mda huu zinasema Naibu waziri wa Kazi na Ajira Dakta Mahanga ametangaza Rasmi kukihama chama chama Mapinduzi CCM kuhamia
chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kwa madai ya kubaini kuwekewa mizengwe
kwenye uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM.
Dakta Mahanga ambaye ni Mbunge
anayemaliza mda wake kwenye Jimbo la
Segerea ametanga hazma hiyo mda mchache baada ya rufaa yake kupinga wa ushindi ulimpa
aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kipawa mama Kivela kutupiliwa mbali na Ofisi ya CCM
mkoa wa Ilala.
Duru za Kisiasa zinasema kilichomponza
Dakta Mahanga ni kitendo chake cha yeye kuhusika katika mpango wa kumnadi
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kwenye nafasi ya Urais wa chama
hicho,lowassa ambaye ametangaza kugombania urais kupitia Chadema.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni