MAFURIKO YA LOWASSA TENA,AFUNGA MTAA KINONDONI,TIZAMA HAPO KUJUA
Maandalizi yanaendelea vizuri naona mitaa yote ya Bongo DSM naona barabara zote maelufu kwa maelufu ya watanzania wanazidi kujitokeza kumlaki na kumpungia mkono wa baraka na heri kamanda mpya Eddo Lowasa.
Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema.
KATIKA HATUA YA LOWASSA YA KUCHUKUA FOMU YA URAIS KUPITIA CHADEMA
Hakuna maoni
Chapisha Maoni