Zinazobamba

DC MAKONDA AFANYA JAMBO LA AJABU KWENYE MSHAHARA WAKE,SOMA HAPO KUJUA

"Ndg zangu Watanzania. Leo tumeanza jambo Jipya litakalosaidia na kutatua kwa kiwango kikubwa migogoro ya Aridhi. Nimeamua kutumia Mshahara wangu zaidi ya 75% Kuwalipa Wanasheria 5 watakaotoa Elimu ya SHERIA kwakila MWANAKINONDONI ili asizurumiwe tena na kupoteza kiwanja chake kwa sababu hana pesa ya kulipa mawakili au uelewa wa sheria. 
Kwani nimebaini zaidi ya 80% ya wananchi wanaofungua kesi wanashindwa.Huduma hiyo itatolewa bure kuanzia 15/06/2015 ofcn kwangu.
 

Pili kuanzia mwezi ujao nitahamia kwenye ofc za kila kata na kuhakiki maeneo ya Wazi na kupitia nyalaka za kila Mtu . Lengo nikujiepusha na migogoro endelevu na kurejesha maeneo ya wazi kwa matumizi ya umma. E Mwenyezi Mungu naomba unisaidie."

Hakuna maoni