ZITTO KABWE,AWATAKA WATANZANIA WAKAPAMBANE NA AL SHABABU,WAUNGANE NA KENYA,SOMA HAPA KUJUA
ZI

KAULI YA ZITTO KABWE KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOK
Kuna haja kubwa ya kuwa 'alert' na hali ya usalama. Vyombo vyetu vya dola viwe makini sana wakati huu dhidi ya tishio la wahuni wa Al Shabab. Pia Serikali yetu iungane na Serikali ya Kenya na nchi nyingine za EAC kupambana dhidi ya magaidi haya. Tusione aibu kupambana nao. Tusione woga. Bila kuwapiga na kuwasambaratisha Al Shabab eneo lote la Mashariki mwa Afrika litakuwa na mashaka makubwa ya usalama
No comments
Post a Comment